UNA BAHATI SANA -2

September 30, 2012
Mdada alikuwa akisafiri kwenye basi, ghafla Jamaa aliyekuwa kakaa kiti cha nyuma akamtapikia JAMAA: Samahani dada lakini una bahati sana ...

UNA BAHATI SANA 1

September 30, 2012
 Jamaa kagongwa na baiskeli, mwendesha baiskeli akaanza kumnyanyua jamaa; MWENDESHA BAISKELI: Aise una bahati sana JAMAA: Umenigonga na b...

MARUFUKU KUPATA MIMBA

September 30, 2012
Mashosti wawili wanazungumza; SHOSTI 1:Yaani mwenzio nina mtihani kweli wa kujitahidi nisifanye kosa nikapata  mimba SHOSTI 2: Ai shostii...

SIDIRIA UNAVAA YA NINI?

September 29, 2012
MKE: Mume wangu ninunulie sidiria MUME: Acha vichekesho, tuwe wakweli unataka kuvaa sidiria matiti yenyewe yako wapi? MKE: Usinitafute ni...

UKINIPIGA UTAONA

September 27, 2012
Kipofu kampiga mtu mpaka kamuua, akafikishwa mahakamani; HAKIMU: Kwanini umefanya ukatili namna hii KIPOFU: Mheshimiwa marehemu alisema m...

HAHAHAHAHA HUYU NI MIMI

September 25, 2012
Walevi wawili walikuwa wanayumba barabarani, mmoja akaokota kioo, akaangaliaa; MLEVI: Hii sura kama naifahamu, ila jina limenitoka kabisaaa...

DOKTA NAUMWAAAAA

September 25, 2012
BABU:Dokta nina tatizo la kujambajamba, lakini bahati nzuri, nikijamba hakuna harufu wala sauti, na huwezi kuamini toka nimeingia humu kwak...

ZUZU NA BABA ZUZU

September 24, 2012
ZUZU : Baba leo nimekuwa mjanja, sikupanda daladala, nikawa nalifukuza tu mpaka nimefika hapa kwa hiyo mfukoni nina shilingi mia hamsini B...

SORI MKE WANGU POMBE MBAYA

September 23, 2012
WIFE alikuwa kaingiza mwanaume kwenye chumba chake cha ndoa. Wakiwa wamelala mume akapiga hodi, jamaa akapanik; WIFE : Tulia huyu ni mlevi...

DOKTA NAUMWA

September 22, 2012
MGONJWA: Dokta nikinyanyua mkono kidogo unauma sana. DOKTA ALIYEKO KWENYE MGOMO:Basi usiunyayue

KANITAPIKIA AKANILIPA

September 22, 2012
Mlevi kamkuta mlevi mwenzie analia nje ya baa; KOLU : We vipi tena unalewa mpaka unalia? Au umeishiwa hela ya kunywa nikakununulie? DOLU ...

SIJUI NIFE?

September 22, 2012
Text messages za leo; MDADA: Baby naomba credit ya elfu tano nataka kumpigia simu baba Arusha. MDADA:Baby nakuja geto niandalie chips na ...

MKE WANGU HAJAJUA

September 21, 2012
RAFIKI: E bwana mbona unaonekana huna raha? JAMAA: Karibuni nitaanza kuitwa baba RAFIKI: Hilo jambo la heri na unatakiwa uwe na furaha, m...

WIFE ALIPATA TEXT YAKO?

September 21, 2012
JAMAA:Mi namuacha mke wangu RAFIKI: Kwanini? JAMAA: Mi nilisafiri, wakati narudi nikamtumia text, na kumtaarifu ntarudi saa ngapi, cha aj...

BABY NAMBA YAKO NGAPI?

September 20, 2012
Huyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana kama ujinga hapa ndio makao makuu, siku moja, aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua ...

MAMA KAKOSA NINI?

September 20, 2012
Mtoto kaingia chumbani ghafla kakuta wazazi wake wako bizi. MTOTO: Mnafanya nini? BABA: Nampiga mama MTOTO: Hee, Mama asubuhi kapigwa na...

COMING SOON

September 19, 2012
Yanki kamuomba baba yake fedha za matumizi; YANKI : Oyaa dingi, fanya mambo mi nipe mkwanja naenda kutana na washkaji kujiachia BABA : Pu...

UZEE HUO

September 17, 2012
JAMAA: Dokta sijisikii vizuri yaani nikiwa natembea macho yanaanza kuona vidotidoti DOKTA: Uzee huo JAMAA: Pia huwa nikiamka asubuhi mgon...

VUA MZEE UMEZIGEUZA

September 17, 2012
Mtu na mkewe walienda kwa mganga wa kienyeji, walikuwa na tatizo,  mume alikuwa goigoi kitandani. Mganga akawambia ana kanda mbili ambazo u...

MKEO YUKO NA RAFIKI YAKO

September 15, 2012
SAM : Aise Dula mkeo yuko Wakuja Gesti na rafiki yako, kimbia upesi uwawahi..... Haraka sana Dula kaacha shughuli zote na kukimbilia gesti....

WADADA NIWAPE SIRI

September 15, 2012
WADADA NIWAPE SIRI, UKISIKIA MWANAUME ANASEMA; Nakuchukulia kama dada yangu ana maana una sura mbaya Sikupendi kimapenzi (una sura mbaya...

YA LEOLEO KWENYE DALADALA

September 15, 2012
Leo kwenye daladala wadada wawili walikuwa wanagombea siti; KONDA: Kuweni wastaarabu wakina dada, acheni ugomvi, haya mzee  zaidi ndie aka...

MALAIKA HAWASOMI TWITTER

September 15, 2012
Mkaka wa kidijitali alifariki alipofika peponi akaingia chumba cha kusailiwa; MALAIKA: Karibu peponi bwana hebu tuambie duniani ulikuwa un...

MKEO SIO MWAMINIFU

September 14, 2012
Boyfriend wa mke kaenda kwa mume; BOYFRIEND: Aise kuna kitu kimeniudhi sana MUME: Nini tena? BOYFRIEND: Mkeo sio mwaminifu anatudanganya...

ALIFUMANIWA

September 14, 2012
Jamaa kaingia bar kamkuta kimwana mzuri, baada ya kupeana vinywaji vya kutosha; MKAKA : Nimekupenda, unaonaje twende mahala faraga? MDADA...

KANUNUE TIKETI WEWE

September 14, 2012
Jamaa mambo yalimuendea vibaya sana, biashara zilianguka, madeni yakamuandama, akawa ana sali sana, kila asubuhi akiamka anaanza,'EE Mu...

NILIKUJARIBISHIA

September 14, 2012
Jamaa alipitia baa akautandika mtindi vizuri, kisha akapata kimwana wakaenda gesti. Kama saa tisa usiku kashtuka akavaa harakaharaka na kuk...

HIVI TULIKUTANA WAPI?

September 13, 2012
MKAKA:(Katika mbinu za kumzoea mdada) Samahani sister sijui nimewahi kukuona wapi? MDADA: Uliniona hospitali ulipougua ugonjwa wa zinaa M...

HAYA JAKI ANDIKA 55

September 12, 2012
MWALIMU: Haya Jaki andika 55 JAKI: Naandikaje? MWALIMU: Andika 5 halafu pembeni yake andika 5 nyingine. Jaki akaandika 5 halafu akakwama ...

NIMEUA NYUKI NA iPAD

September 12, 2012
Juzi nimemtuma mpwa wangu anipe gazeti, kwanza kanicheka sana; MPWA: Babu hatutumii magazeti siku hizi hebu chukua hii iPad yangu.. Ni kwe...

NIMEJIUMA ULIMI NTAKUFA

September 11, 2012
Vinyoka vidogo viwili vilikuwa ninacheza; KINYOKA 1: Eti sisi tuna sumu KINYOKA 2: Ndio kwani vipi? KINYOKA 1: Basi mi ntakufa KINYOKA ...

HAYA NENDA KWENU

September 11, 2012
MUME : Mke wangu je nikishinda bahati nasibu utafanya nini? MKE : NtaCHUKUA nusu kisha ntakuacha MUME : Safi sana nimecheza bahati nasibu...

GULO ANA MAKSI D

September 11, 2012
Jamaa alikuwa kaunta ya baa anateremsha kinywaji chake taratibu huku anasoma gazeti lile bingwa la kupindisha habari. Mara akaguswa bega; ...

FISADI MTAKATIFU

September 11, 2012
Kuna ndugu wawili ambao kiukweli walikuwa mafisadi wa hali ya juu, lakini walitumia utajiri wao huo kuficha ubaya wao, na wakawa wahudhuri...

KICHWA KITUPU

September 11, 2012
DOGO: mama tumbo linauma MAMA: litakuwa tupu hilo, ngoja nikutengenezee uji.....Kesho yake; MAMA: Mhh kichwa kinaniuma DOGO: Kitakuwa ki...

DEMU WA FACEBOOK

September 11, 2012
MKAKA: Mpenzi tabu yako we una wivu sana MDADA: Aka mi sina wivu hata kidogo MKAKA: Una wivu bwana MDADA: Nimejifunza mwanamke mwenye...

MGAMBO FALA

September 10, 2012
Mlevi alikuwa anakojoa kando ya barabara, mgambo akamzukia; MGAMBO: We acha kukojoa funga zipu haraka. Mlevi akafunga zipu haraka, mgamb...

OLE WAKO UKOHOE

September 10, 2012
Jamaa alikuwa anakohoa kwa muda mrefu sana, kila dawa akipewa anatulia siku mbili kisha anaanza tena. Siku hiyo akaenda kwa daktari ambaye ...

NIMEPONDWA NA FRIJI

September 10, 2012
Baunsa wa night club alienda kutibiwa kutokana na maumivu makali baada ya kupata mshtuko wa mgongo; DOKTA: Umeumiaje? BAUNSA:Nilipoingia ...

MLEVI KAIBIWA DEMU 'LIVE'

September 10, 2012
Mlevi katoka bar mkononi kashika funguo ya gari kasimama mbele ya bar akaanza kulia, askari akaja; ASKARI : Wewe vipi tena? MLEVI: Wameni...

SINA CHENJI ONGEZA KIDOGO

September 09, 2012
Mwanakijiji kamfumania jamaa na mkewe, baada ya heka heka kali za kumlamba ngumi na vichwa kadhaa; MGONI: Nisamehe ndugu yangu sirudii ten...

TV YA RANGI

September 09, 2012
WAKUJA: Shkamoo mwenye duka MWENYEDUKA: Marahaba karibu unataka nini. WAKUJA: NImeambiwa unauza TV za rangi MWENYEDUKA: Haswa hili d...

TEMBO KAFA

September 07, 2012
Askari wa wanyama pori alikutwa na watalii analia; MTALII: Mbona unalia ASKARI: Tembo kafa MTALII: He ndio unalia hivi? Inaonekana u...

SIMBA KATELEZA

September 07, 2012
MTANGANYIKA: Leo nimeponea chupuchupu kuuwawa na simba MBONGO : He ilikuwaje? MTANGANYIKA : Nilikuwa nimechuchumaa najisaidia nyuma ya ...

WAONYESHE KIBALI MZEE

September 07, 2012
Bwana Miti alikwenda kutembelea kijiji kimoja kukagua utunzaji wa msitu uliokuuwa karibu na kijiji hicho. Akafika kwa Mwenyekiti wa Kijiji n...

NTAMTUNZIA ATAKAENIOA

September 06, 2012
MKAKA: I love you my baby MDADA: Hata mimi lakini tupendane tu, mambo ya ngono staki, namtunzia mume atakaenioa MKAKA: Hilo sio tatizo...

BABA YAKE NI WEWE

September 06, 2012
TAJIRI: Namshukuru Mungu, kwa sasa nina magari mengi tu ya kifahari , nyumba kadhaa, mashamba na pesa nyingi benki, I am okay MASIKINI: Mi...

HE UNAUGONJWA WA ZINAA?

September 05, 2012
Manesi wengine noma, jamaa alikuwa na appointment na dokta. Akamuendea nesi aliyekuwa akipokea wageni ambao walikuwa wengi wamejazana kweny...

TALAKA YA NINI? SUBIRI

September 05, 2012
Jamaa kamfumania mkewe; JAMAA : Yaani mke wangu unanifanyia hivi mimi? Kitu gani nimekukosea? MKE : Mume wangu najisikia aibu kubwa ...
Powered by Blogger.