VICHEKESHO VYA SENSA VINAVYOENDELEA KWENYE SIMU

Sensa inaendelea na watu wametunga vichekesho vingi vya siku hii, hivi ni baadhi ambavyo nimetumiwa na Watanganyika kadhaa kwenye simu.
1. KARANI:Hodi, mie ni karani wa sensa hata sikai, naomba idadi ya mademu ulionao
2. KARANI: Hodi sina muda mwingi mie ni karani wa sensa, we umo twitter au fesibuku
3. KARANI: Samahani ulilala kwenye meli? walisahau kutufundisha kuhesabu waliolala kwenye meli
4.KARANI: Samahani kuna swali hapa umelala na mabinti wangapi toka umezaliwa?

No comments:

Powered by Blogger.