HATUPIMI BANDO

WACHA TULALEEEEEE

WACHA TULALEEEEEE
WACHA TULALEEEEE

WADHAMINI

12 August 2012

Usain Bolt kumbe Mtz

WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu, we tunakujua ulikuwa unakaa Kitanzini pale Iringa , umesoma Shule ya Msingi Ruaha ulikuwa bingwa wa kuiba maembe kule Mkwawa, sasa kwa nini jina lako la Huseni Baluti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au nikuongelee kikwenu ndo utanielewa? Wihonginyoni be

No comments: