Tanzania yashinda medali

Michezo 10 ambayo ingeshindanishwa Olympic, ni wazi Tanzania tungerudi na medali za dhahabu kadhaa;
1. Ubishi
2. Kutengeneza kamati na tume
3. Kukata umeme
4. Udereva mbovu
5. Upedeshe
6. Uchakachuaji
7. Ufisadi
8. Fitna
9. Rushwa
10. Uchelewaji

1 comment:

Anonymous said...

hahaha ni kweli kabisa.

Powered by Blogger.