HATUPIMI BANDO

WACHA TULALEEEEEE

WACHA TULALEEEEEE
WACHA TULALEEEEE

WADHAMINI

18 August 2012

Ni Kinya hapa piga keleleeeeeeeeeee


Msanii mmoja anaitwa Kinya, alikuwa kapanda kwa mara ya kwanza jukwaani kwenye mkoa  mmoja wa wakorofi, akiwa na maik mkononi akaona ajitambulishe kwa staili ya masupasta ya kuanza kusema,’ Ni Diamond jukwaani leo’.
MSANII: NiKinya jukwaani leo
WANANCHI: Utazoa mwenyewe mshenzi mkubwa, usilete mchezo huku hatutaki ujinga anza kuimba bwana

No comments: