Navijua vitu tisa kuhusu wewe


Navijua vitu 9 kuhusu wewe
1. Unasoma hii habari.
2. Wewe ni binadamu hai kabisa.
3. Huna jeuri ya kusema PIPI bila kufungua mdomo
4. Hahaha nakuona  umejaribu kusema PIPI...
6. Unajicheka ujinga.
Nimeyaona meno yako
7. Unatabasamu umeruka Na.5
8. Hahaha unacheki kama kuna namba 5
9. Umetabasamu

No comments:

Powered by Blogger.