Mke wangu tumepata tatizo

Mume karudi nyumbani hana raha;
MKE: Vipi mume wangu?
MUME: Nimepata tatizo kubwa kazini.
MKE: Usiseme hivyo mume wangu, tatizo lako tatizo langu, sema tumepata tatizo
MUME: Sawa mke wangu, tumepata tatizo kazini, tumezaa na sekretari

No comments:

Powered by Blogger.