Mi nasoma mita


Vijana walikutana kwenye mnuso, wakaanza kujitambulisha
Jamaa 1: Mimi naitwa Devi natoka MUHS nasoma Utabibu
Jamaa 2 :Naitwa Yohana natoka MuCCoBS nasoma biashara
Jamaa 3: Minaitwa Yusi natoka UDSM nasoma Sheria
Jamaa 4: (Kapata kigugumizi kwanza) Naitwa Gwalu eh eh natoka TANESCO nasoma mita

No comments:

Powered by Blogger.