MCHUZI WENYEWE SIO WA MOTO

MTEJA: Oyaa angalia unaniletea chakula na dole lako liko kwenye mchuzi wangu
WEITA: Hakuna shida mzee, mchuzi wenyewe sio wa moto sana.

No comments:

Powered by Blogger.