Mama zaa mtoto tumsapraiz baba


Mtoto: Mama nami nataka mdogo wangu kama akina Jaki
Mama: Haya baba yako akirudi toka masomoni tutaongea nae tukutafutie
Mtoto: Mama si utafute sasa baba akirudi umsapraiz?

No comments:

Powered by Blogger.