Kuna kampuni kubwa zinanisaka

MWAJIRIWA: Bosi tafadhali niongeze mshahara. Labda nikutaarifu kuna kampuni kubwa mbili, zinanitafuta sana
BOSI: Loh , kampuni gani hizo?
MWAJIRIWA: TANESCO wananisaka, DAWASA wananisaka

No comments:

Powered by Blogger.