Chakula kibaya mno

MHUDUMU: Hoteli yetu haina panya kabisa
MTEJA: Ina maana ni safi sana basi
MHUDUMU: Hapana chakula cha hapa hotelini ni kibaya sana mpaka panya wamekimbia

No comments:

Powered by Blogger.