Ama sivyo nini????

KIBAKA: Oyaa toa hela zako upesi ama sivyo...
JAMAA: Ama sivyo nini?
KIBAKA: Acha kunichanganya, leo ndio siku yangu ya kwanza kuanza hii kazi

No comments:

Powered by Blogger.