DOKTA WAKO FEKI

August 31, 2012
MUSA: Dokta wako feki DOMI: kwanini? MUSA: Si unakumbuka alikuwa anamtibu mzee Jailo ugonjwa wa figo, mzee wa watu akaja kuugua maini na ak...

JAMAA KALALA WAPI?

August 31, 2012
Mmama mmoja mbeya aliyekuwa hachoki kufuatia yasiyomhusu na kuyatangaza, alimuanzishia maneno jamaa mmoja mgeni kabisa mtaani. Baada ya kuk...

WEWE NI KICHWA MAJI

August 31, 2012
Asilimia 75 ya ubongo wa binadamu ni maji, pia asilimia 95 ya matango ni maji, huo ndio ukweli wenyewe. Hivyo basi kuitwa kichwa maji si ...

MITIHANI YA KISIKU HIZI

August 31, 2012
MITIHANI YA KISIKU HIZI  Jibu maswali mawili tu kati ya haya; SWALI 1.-Lugha Kabila la Wahehe huongea lugha gani? (a) Kihehe (b)...

ULISHAVULIWA TULIA

August 30, 2012
MKE : Kabla hujanioa ulikuwa ukinipa zawadi mbalimbali siku hizi sioni hata kanga MUME : Uliwahi kusikia mvuvi anaendelea kumpa samaki ch...

NTAKUNUNULIA DUNIA

August 29, 2012
MLEVI 1: Mi naweza kukununulia dunia MLEVI 2: Huwezi MLEVI 1; Kwanini nisiweze? MLEVI 2: Sababu siwezi kukuuzia

LINI UTAANZA KAZI?

August 29, 2012
MUME: Nashukuru Mungu kazini wamenipandisha cheo sasa ntakuwa na ofisi yangu mwenyewe, na wameniambia niajiri sekretari wangu mwenyewe. MK...

MWAMBIE UNAMDAI MILIONI

August 29, 2012
Jamaa alikuwa anamdai mwenzie laki tano lakini kukawa na kukwepana kwenye kulipa , akaona aende kwa mwanasheria; JAMAA: Jirani yangu namda...

ONJA UONE KAMA UNA SUKARI

August 29, 2012
Mzee kaingia pharmacy, MZEE : Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA : Kitu gani?....Mzee akatoa kichupa na kijiko...

BABU ANAKAIMBISHA KABINTI

August 29, 2012
BABU : Mtoto nakupenda sana, ukinikubali utafurahi KABINTI : Akuuu, we mzee una miaka hamsini mi nina 19 wapi na wapi? BABU : Nani ana ...

FLAT SCREEN TV

August 28, 2012
Madaktari wa hospitali ya machizi waliwapa wagonjwa mabox na kuwaambia watengeneze TV. Baada ya nusu saa kila mgonjwa akaambiwa alete T...

WAHI MUUJIZA TUMA VOCHA

August 28, 2012
Kuna kitu cha ajabu ambacho kwa kweli hata mimi sikielewi, ila tu naweza kusema miujiza inatokea. Binti mmoja alikosea akanitumia vocha ya ...
Powered by Blogger.