Watadhani nakupiga

Jioni moja jamaa alikuwa kakaa na mkewe nje ya nyumba yake wakati TANESCO wamewanyang'anya umeme. Mke akaamua kumuimbia mumewe nyimbo za Cellin Dion ili kumliwaza. Mume akaaga anenda ndani kulala;
MKE: Jamani mi nataka kuwa romantic nikuimbie blues we unanikimbia, wanaume wa kiswahili bwana
MUME: Naogopa watu wakisikia watadhani unalia nakupiga

No comments:

Powered by Blogger.