HATUPIMI BANDO

WACHA TULALEEEEEE

WACHA TULALEEEEEE
WACHA TULALEEEEE

WADHAMINI

9 July 2012

Sijui nimtandike kibao

Mtu unamwambia , 'Aise kuna bonge ya ajali imetokea hapo mtaa wa pili' Yeye anakuuliza,'Are you serious?' Jamani nimtandike kibao?, wako wengi sana wa namna hii, anakukuta uko mahala unakula mishkaki anauliza 'Unakula mishkaki?' Ushauri please

No comments: