HATUPIMI BANDO

WADHAMINI

16 July 2012

Siafu katika mkutano wa kumuua tembo


Siafu wanne walikuwa katika matembezi wakakutana na tembo;
SIAFU 1: Tumuuwe
SIAFU 2: Hapana tumvunje miguu tu
SIAFU 3: Tumsukume pembeni atupishe tupite
SIAFU 4:Hapana tumwache tutakuwa tunamuonea sisi tuko wanne ye yuko peke yake'

No comments: