HATUPIMI BANDO

WACHA TULALEEEEEE

WACHA TULALEEEEEE
WACHA TULALEEEEE

WADHAMINI

15 July 2012

Nikimpata Irene ntambusu

Mtu na mkewe walikuwa wanaangalia sinema moja ya Bongo, Ray alikuwa kamuoa Irene, na kila akiwa anataka kwenda  kwenye shughuli zake alikuwa akimbusu mkewe kwa mapenzi;
MKE: Unamuona Ray anavyombusu Irene kila anapotoka nyumbani, kwanini wewe hufanyi hivyo jamani?
MUME: Hata mimi nataka sana kufanya hivyo, ila sijui Irene ntampata wapi

No comments: