HATUPIMI BANDO

WADHAMINI

16 July 2012

Msukule wa mjomba wako ulipita janaJamaa kaaga kazini kuwa anaenda kwenye mazishi ya mjomba wake. Kesho yake alipo ripoti kazini akaambiwa anahitajika kwa bosi,
Bosi: Pole na msiba wa mjomba wako
Jamaa: Asante bosi, umeniuma sana kwa kweli.
Bosi: Ukoo wenu kuna tatizo la misukule?
Jamaa: Hapana bosi, kwanza mimi siamini mambo ya kishirikina
Bosi: Nadhani sasa limeanza, maana jana wakati umeenda kwenye mazishi ya mjomba wako,msukule wake ulipita hapa kuja kukusalimia.

No comments: