Mjukuu wako kanidondokea


Jamaa kapita pembeni ya nyumba ya ghorofa moja, si akaangukiwa na condom imetumika. Kwa hasira akaenda kupiga hodi kwenye nyumba ile, akatoka mtu mzima mmoja;
Jamaa: Nauliza nani anaishi hivyo vyumba vya juu?
Mwenye nyumba: We chizi nini inakuhusu nini?
Jamaa: Nauliza tena nani anaishi huko juu?
Mwenye nyumba: Anaishi mwanangu na mkewe
Jamaa: Basi haya mchukue mjukuu wako huyu, kanidondokea kichwani..akamkabidhi condom 

No comments:

Powered by Blogger.