Mama mwoga zaidi ya baba


Mtu na mkewe walikuwa wakitaniana na kubishana nani mwoga zaidi, ubishi ulivyozidi wakaamua kuwauliza watoto wao, nani mwoga zaidi kati yetu?
Mtoto wa Kwanza: Mi naona baba mwoga zaidi, tukienda mjini akiona mwanamke anamfungia jicho moja anaogopa kumwangalia na macho yote
Mke: Kumbe ndivyo ulivyo mshenzi mkubwa we
Mtoto wa pili
: Mama ndio mwoga zaidi, anaogopa kulala peke yake, baba akisafiri analala na anko wa nyumba ya pili, kama anko hakuja analala na kaka wa kazi.........(hapo ndipo Valangati likaanza!@#$%^&*)

No comments:

Powered by Blogger.