HATUPIMI BANDO

WADHAMINI

7 July 2012

Hujalogwa

Jamaa kaenda kwa mzee moja kazini kwake;
JAMAA: Mzee nina tatizo kubwa yaani sina hamu na mke wangu kabisaaa,sijui nimelogwa?
MZEE: kesho mlete mkeo nimuone. Jamaa akaja na mkewe mzee akamuangalia yule mama, kisha akamuita jamaa pembeni.
MZEE: Aise yaani ulimuoa vipi mbona hana mvuto kabisa? Hujalogwa wala nini

No comments: