Helo switii


MASA: Heloo switi mambo?
SWITI: Poa
MASA: Uko wapi mida hii?
SWITI: Niko home nimechoka najitayarisha kulala, Na wewe je?
MASA: Niko nyuma yako hapa Maisha club

1 comment:

kabali faraji said...

bonge la nooooomaaaaa

Powered by Blogger.