Hata mimi ndio kwanza nafika

Jamaa alikuwa kalewa chakali akawa anashuka ngazi bahati mbaya akateleza akadondoka mpaka mwisho wa ngazi. Watu wakamkimbilia kumsaidia;
MTU: E bwana pole vipi kimetokea nini?
MLEVI: Hata mi sijui ndio kwanza nafika

No comments:

Powered by Blogger.