Konda kaharibu kitandani

July 31, 2012
Konda alikuwa kakasirika sana, abiria alikuwa kagoma kulipa nauli akisisitiza eti yeye ni denti, wakati kila mtu alimuona ni mtu mzima, kon...

Simba Kabakwa

July 30, 2012
Nyani alikuwa anapita karibu na kisima cha maji akamkuta simba kainama anakunywa maji. Nyani kwa uhuni wake akamnyatia ...

Mnanitekenya mwenzenu

July 29, 2012
Jamaa walikuwa wanaosha maiti kuitayarisha kwa mazishi, ghafla maiti ikaanza kucheka; MAITI: Kwi kwi kwi kwi Mnanitekenya mwanzenu jamani ...

Mke akikukosea humpigi

July 29, 2012
Jamaa alikuwa akimpiga mkewe mapema asubuhi Jumapili ya leo hapo mtaa wa pili. Katika watu waliokuwa wamezungunguka kujaribu kuzuia timbwil...

USAFI NI MUHIMU

July 29, 2012
Kutokana na maradhi mengi yanayotokana na uchafu tunashauri matumizi ya toilet paper hii ambayo kwa kweli inasugua vizuri sana. Tumia hii...

Hivi Amina tuko wapi?

July 29, 2012
Jamaa kaamka nyumbani kwake asubuhi baada ya kuwa alirudi kalewa sana jana yake,kichwa kikiwa kinamgonga kabla akili ha...

Ndege ilipokwama hewani

July 28, 2012
Waswahili wawili walipanda ndege yenye injini 4. katika kati ya safari nahodha akawataarifu kuwa injini moja imezima kwa hiyo watachelewa k...

Kumbe una nyumba ndogo

July 27, 2012
Baada ya uchaguzi wa serikali za mtaa mgombea karudi kwake amenuna. MKE; Vipi matokeo? MUME: Nimeangushwa vibaya MKE: Umepata kura ngapi...

Sweety unaona lile BMW

July 27, 2012
Pedeshe yupo Coco Beach na wale wa kwenye luninga. Pedeshe : Mtoto ulisema birthday yako next week? Hani : Yeah Pedeshe : Natak...
Powered by Blogger.