Group Project

MAMA: We binti una mimba?
BINTI: Ndio mama, ilikuwa tunafanya projekti ya bayoloji chuoni
MAMA: Mungu wangu, sasa nani baba wa mtoto?
BINTI: Sijui, ilikuwa Group Project

No comments:

Powered by Blogger.