Muulize hata baba

June 30, 2012
MAMA MWENYE NYUMBA:Jamani chupi zangu sizioni zinaenda wapi? We dada au umechukua wewe? MDADA WA KAZI: Akuu mi sivaagi muulize hata baba

Haiwezi kuwaka hii

June 30, 2012
Maprofesa kadhaa wa chuo cha ufundi walikaribishwa katika uzinduzi wa ndege mpya, wakakaribishwa kwenye viti vya ndege wakafunga na mikanda...

Mdomo kama tairi la trekta

June 30, 2012
Mke alikwenda kulalamika kwa mumewe kuwa kuna jamaa mgeni jirani kamtukana kuwa ana mdomo kama tairi la trekta. Mume akapandisha na kuapa k...

Nina baba wengi

June 30, 2012
Siku moja kabla ya mtihani wa insha mwalimu aliwataarifu wanafunzi wajitayarishe kwani kwenye mtihani atataka waandike insha kuhusu mtu wa...

Demu wangu paka

June 30, 2012
PANYA 1: Nshawahi kunywa sumu ya panya na hakikutokea kitu PANYA 2: Mi huwa nacheza kiduku kwenye mtego na haufyatuki PANYA 3: Demu wangu...

Kumbe umesema Uyaya

June 29, 2012
Binti alirudi kijijini baada ya miaka 5. BABA: We mwanaharamu umeondoka hapa kwa miaka mitano hukutaka kutuandikia barua wala kutuma salam...

Kwanini walaliane?

June 28, 2012
DOGO: mama naomba nikalale kwa akina Helena, mama yake amesema ataturuhusu tulale chumba kimoja mmoja juu mwingine ch...

Mi sio mwizi

June 28, 2012
Mwanamke mmoja alipita katika kichochoro kimoja chenye giza nene kule Tandale ghafla akatokea mtu na kisu; JITU : Oyaa simama hapo hapo......

Kamkonga kako kadoooooogo

June 28, 2012
Jamaa alikuwa anaoga porini ghafla akakuta amezungukwa na tembo waliokuwa wakimuangalia kwa makini; JAMAA : Nyie vipi mnashangaa nini? ...

Kiserengeti boi

June 28, 2012
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akamkuta Serengeti Boy wa...
Powered by Blogger.